Unaweza kuhubiri? njoo tufungue kanisa.

Unaweza kuhubiri? njoo tufungue kanisa.

Mkuu mm naweza ....utanilipa sh ngapi.......sitaki waumini njaa njaa mm ....
 
Kwakweli nimecheka sana sana hadi machozi yakanitoka, sikuwahi kupata au kukutana tangazo kama hili, hongera mtoa uzi Mungu akutangulie
 
Back
Top Bottom