Engager JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 1,522 Reaction score 3,255 Oct 3, 2023 #1 Hapo chini kuna picha, ambayo ukiitazama kwa macho huwezi kuielewa. Ila ukiikazia macho kwa kama sekunde 10 hivi, kisha ukafumba macho, inatokea image inayoeleweka kabisa. Hii kitu unaweza kuielezea vipi kitaalamu?
Hapo chini kuna picha, ambayo ukiitazama kwa macho huwezi kuielewa. Ila ukiikazia macho kwa kama sekunde 10 hivi, kisha ukafumba macho, inatokea image inayoeleweka kabisa. Hii kitu unaweza kuielezea vipi kitaalamu?