Unaweza kuishi bila ngono au tendo la ndoa

Unaweza kuishi bila ngono au tendo la ndoa

ce7b4e915624a4c691f860d988a608d9.jpg
Ngono noma, hata marehemu anajua[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Usinga
 
Havina mahusiano kati ngono na maisha tunaanza ngono tukiwa na 19 maisha tunaanza tukiwa na miaka 00 00 0000 kwa hiyo unaishi tu bila ngono uhai wako wote kana utapenda
kweli kabisa mkuu
 
Havina mahusiano kati ngono na maisha tunaanza ngono tukiwa na 19 maisha tunaanza tukiwa na miaka 00 00 0000 kwa hiyo unaishi tu bila ngono uhai wako wote kana utapenda
Kweli!!hebu justify
 
Hivi kweli kuna binadamu anaweza ishi bila hili tendo!

Maana kama haina madhara heri ili kuepuka mizinga na wanawake kujitunza zaidi
Kujinyima raha sababu ya mizinga!!! Hata siwezi. Jambo la msingi ni kuwa na mpenzi anayejitambua hutapigwa mizinga mkuu, lakini uwe una mhudumia kadri uwezo wako unavyo ku uhusu.
 
Back
Top Bottom