Unaweza kuita bajeti ya 2022/2023 ni bajeti ya wananchi kutokana na mambo sita makubwa yaliyozingatiwa

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
mambo-pic-data.png

Tuseme tu ukweli mama ameupiga mwingi kwenye swala la bajeti.

Kwa ushauri zaidi.
PM
au
Email: menejawamakampuni@gmail.com

Let be smart in seriously issues.
 
Baada ya mwaka mmoja fuatilia hizo B 294 za wizara ya kilimo kuwa zimetumika vipi na uzalishaji katika sector ya kilimo umeongezeka kwa asilimia ngapi uje hapa utupe mrejesho
 
Tumwacheni mama afanye kazi, tuweke chuki pembeni.
 
Acha utapeli wa kijinga, hiyo bajeti iliyosomwa ni ya kusaka kiki ya kisiasa, lakini utakelezaji haufiki hata 60%. Isitoshe hilo neno bajeti ya wananchi sio la leo wala jana. Kawalishe watu wa kijijini huu utapeli.
Tuacheni chuki za waziwazi, serikali ya awamu ya 6 inapiga kazi sana
 
Tatizo ni lile lile siasa zimetawala maendeleo. Sahivi imegeuka ni kusifu kusifu ili kujipatia mkate.

Budget yetu iyo teyari ni mfu. Kama tungekua tunatekeleza yanasemwa ata kwa 70% leo hii tusingekua tunalia na madawati, vyoo nk.

We fikiria kama utekelezaji wa faini za bajaji na pikipiki hadi leo haujawai fanyika pamoja na budget kuridhia
 
Back
Top Bottom