Unaweza kujibu maswali haya magumu ya Askofu Bagoza kuhusu Uchaguzi 2020?

Unaweza kujibu maswali haya magumu ya Askofu Bagoza kuhusu Uchaguzi 2020?

Joined
Oct 7, 2020
Posts
19
Reaction score
13
1. Ukiiba fedha za umma unaitwa mwizi/ fisadi. Ukiiba kura uitwe nani?

2. Ukilazimisha kufanya mapenzi kwa mtu unaitwa mbakaji. Ukilazimisha kututawala tukuiteje?

3. Ukichaguliwa kihalali unaitwa kiongozi. Ukichaguliwa kwa Ujanja, kwa kura za ujanja, kimagumashi tukuiteje?
 
Back
Top Bottom