Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Haya yameshikiliwa na nini? Si yataanguka?Kumekuwa na ujenzi wa aina tofauti tofauti hasa ujenzi wa ( shimo ) katika ujenzi ambao nimejenga kama jinsi unavyoonekana hapo kwenye picha na video. Itanichukua muda kuchimba shimo lingine, hapo nategemea kutumia zaidi ya miaka 30+ mpaka napata na wajukuu litakuwa bado fit
Video nimeshindwa kuipandishaView attachment 2046424
Picha iko wapi?Hapana hayawezi kuanguka na hatujatumia Cement wala udongo kukazia mawe hayo ni yenyewe tu jinsi unavyoona pia ni bora zaidi na gharama ni nafuu kuliko kujengelea kwa Cement
Juu unafunika na nini?Hapana hayawezi kuanguka na hatujatumia Cement wala udongo kukazia mawe hayo ni yenyewe tu jinsi unavyoona pia ni bora zaidi na gharama ni nafuu kuliko kujengelea kwa Cement
PichaPicha iko wapi?
Hakuna kitu kisichowezekana hata hayo yanapangwa vizuri tuOk uko itakuwa mkoan ndio kuna mawe hayo...gud..sisi huku (Dar) tunatumia mawe meupe...yanapangwa hivyo hayajai upesi
Yah kweli..nafaham ..pamoja sanaHakuna kitu kisichowezekana hata hayo yanapangwa vizuri tuView attachment 2046454
Lina upana fut 8½ uref kushuka chini fut 15 limejengelewa likapakia kwa upana fut 7 urefu wa kwenda chini haukupungua ulibaki vilevile.Hilo shimo lina upana wa mts/fts/cmts/inchrs za kipenyo (diameters) ngapi..??
Na kina (kwenda chini) imeenda kwa umbali gani..??
Ainaipi ya udongo ambapo panafaa kuchimba shimo hilo..??
Nilichelewa kuchukua matukio hata haya yatasidia kuona walau chochote cha kujifunza hapoUlipaswa uanze kutuonyesha hatua kwa hatua hapa umetuonyesha hatua ya tatu na kuendelea
Ongeza kokoto brooNilichelewa kuchukua matukio hata haya yatasidia kuona walau chochote cha kujifunza hapo
ongezea iwe ivi " kwa majaliwa ya MUNGU: hapo kwemye miaka 30