Unaweza kujifunza namna shimo hili la choo lilivyo jengelewa kiutofauti na ukafaidika zaidi

Unaweza kujifunza namna shimo hili la choo lilivyo jengelewa kiutofauti na ukafaidika zaidi

mbona kama naiona hatari kubwa kwa mtu/watu wanaoingia shimoni kupanga hayo mawe
 
Hapana hayawezi kuanguka na hatujatumia Cement wala udongo kukazia mawe hayo ni yenyewe tu jinsi unavyoona pia ni bora zaidi na gharama ni nafuu kuliko kujengelea kwa Cement
Tunasubiri ajali kwa hamu mkuu
 
mkuu mimi shimo langu ni matufali. lakini bado sijaa'nza kulitumia

je mnaweza kulibadilisha likawa la mawe? na mtafanya kwa njia ipi ili nipunguze gharama ya mwanzo nilotoa?

shukran
 
Back
Top Bottom