Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Si itaziba??🤣🤣Miezi 6, wakati mwengine mpaka mwaka kama sijapata mtu ambae tuna chemistry
Mchawi kuisuuza na maji ya Moto tu hata Miaka miwili unatoboa Kama konokono au siyo?Miezi 6, wakati mwengine mpaka mwaka kama sijapata mtu ambae tuna chemistry
chai mchana mchana sio poa😂5yrs
[emoji3][emoji3]Siti ya mbele upande wa dereva
DahhNimestahmili sana siku 2 zaidi ya hapo akili inahama, kila nikionacho kitafanana na papa.
Kuna effect zozote unaziona ama kupata ukikaa kwa mfano mwaka mzima?Miezi 6, wakati mwengine mpaka mwaka kama sijapata mtu ambae tuna chemistry
Tunataka maoni yakooo[emoji23][emoji23]hapa nisome tu comments kwakweli [emoji4][emoji847]
Unaweza kukaa mwaka mzima bila mpenzi... ila ndani ya huo mwaka ukajihusisha kama mara 4 hivi 🥳Ni kwa muda mrefu kiasi gani unaweza kukaa bila mpenzi ama kutojihusihsa na mapenzi
Mie naelekea 7 years5yrs