Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiwa naye karibu, nakuwa off akienda moonlight.Ni kwa muda mrefu kiasi gani unaweza kukaa bila mpenzi ama kutojihusihsa na mapenzi?
Unafanya nini kistahimili mda mrefu?
'Miezi 6, Wakati mwingine mpaka mwaka'Miezi 6, wakati mwengine mpaka mwaka kama sijapata mtu ambae tuna chemistry
[emoji23][emoji23][emoji23] ebu tulia basi.Hivi mwanamke ni nyakati gani huwa anakua wa moto
Hongera25yrs now without s***
Kipindi cha ovulation,zile zinaitwa siku za hatariHivi mwanamke ni nyakati gani huwa anakua wa moto
Hongera ya nn wakati najiona mzembeHongera
Ning'ate sikio basi[emoji1][emoji1]
Unamaanisha mapenzi(sex) au mapenzi(love/ to be in love) maana lugha yetu hii ya Kiswahili imepungukiwa na misamiati ya kutosha...Ni kwa muda mrefu kiasi gani unaweza kukaa bila mpenzi ama kutojihusihsa na mapenzi?
Unafanya nini kistahimili mda mrefu?
Kisa na mkasa?Miaka 8 sasa