BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Ujue unapomiliki usafiri wish kubwa ni kuona chombo chako kiwe chuma cha kazi kila kitu kiwe on point kuanzia muonekano mpaka performance hapo unavimba popote kuanzia kwa wahuni mpaka watoto wazuri.
Kilichonitokea leo kimenifanya niwaze kuhusu ndugu zetu wanaomiliki ndinga kupitia mikopo the way wanavyojisikia kuhusu maintenance ya gari.
Nimepiga mitikasi yangu nimeokota 60k mipango ilikuwa nipige local beer 5 which is equal to 10k nipate mchumba kwa 30k ninyooshe mgongo then 20k inayobaki inifikishe Monday kumbe mipango sio matumizi.
Mambo yanaanza kuharibika baada ya kugundua pikipiki inaniletea sound za ajabu breki ya kwanza inakuwa kwa fundi kufumba kufumbua 40k imekata kwenye service ya pikipiki unplanned kwa vile pikipiki yangu naipenda sio case.
Kuna tafiti ilitoka miezi kadhaa iliyopita kuwa Tanzania wengi wanakopa kugharamia matibabu na ununuzi wa magari sasa unapokopa ili ununue gari kwanza hakuna namna unaweza nunua new car zero kilomita lazima ukae kwenye used car.
Mtihani unakuwa kwenye kufanya marejesho na unplanned maintenance za ndinga hazikupi fursa ya kupumua mtu wa design sahau kukuazima gari yake.