Unaweza kukunja nguo za ndani za mpenzi wako na kujionesha mtandaoni kama Harmonize alivyofanya?

Unaweza kukunja nguo za ndani za mpenzi wako na kujionesha mtandaoni kama Harmonize alivyofanya?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Msanii Harmonize amepost video inayomuonyesha akifanya jambo ambalo sio la kawaida kwa walio wengi.

ANGALIA VIDEO HAPA


Je, wewe unaweza kukunja nguo za mpenzi wako na kuzipost mtandaoni?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Usupastaa mzigo wa mwiba ukiubeba unaumia - Fid Q
 
Mtanisamehe aisee ila huyo jamaa kuna mahali akili zake huwa naona kama hazipo sawa sawa.
 
Hamonaize nyimbo zimekataa kwenda album ilibuma. Acheni tu ajitoe akili kupata attention
 
Enzi zetu wahuni wakizamani,huyu korosho tulikuwa tunamuita ZUMBUKUKU.
Screenshot_20240202-011410.jpg
 
Back
Top Bottom