Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 524
- 1,093
Mmakonda hutu ni mshamba sana, sijui angekuwa mredu ingekuwajeKumbe Harmonize na Manara wanataka kufanana akili
Ngoja tusubiri kuona connection yao tu wakiwa faragha, na hivi nina miwani mipya ya macho hata wakiposti usiku mnene nitaweza kuona 😜
Hizo ni changamoto za biashara tu.Hamonaize nyimbo zimekataa kwenda album ilibuma. Acheni tu ajitoe akili kupata attention
Yeye na Haji wote wamezidisha ushamba, hawajui tunaishi kwenye Dunia ya teknolojia.Mmakonda hutu ni mshamba sana, sijui angekuwa mredu ingekuwaje
Muhusika mkuu wa mada nani? Ikiwa umepigwa na kitu kizito basi endelea kuvaa sketi maana ndipo ukomo wa akili yako ulipoishia kiupeo.Mbona domo anavaa hereni puani au kwako tatizo ni sket au unalingine