Unaweza kumfanya hivi mpenzi wako kwenye bodaboda

Dada mmoja mrembo aliwahi nifanyia hivyo stand ya mkoa watu wote uuuuuuuuuh, ile napanda basi nimekaa kaja tena abiria wote wuuuuuuuuuh, ila Mungu huyu yule dada akapata ujauzito wa mtu nikiwa masomoni najua nasubiriwa, teh teh teh teh teh, kuna mtu ana sign jobtruetrue.
 
Nadhani pia umri wao unaruhusu

Hayo mambo yanafaa mkiwa kwenye gari.

Umbali wa kilomita 50 unakuta umeshamuwasha mara 3.

Mkifika room unamalizia viwili vya kulalia πŸ™Œ
 
Yaani hapo kila mtu tunamuona hana akili ,wenye akili ni wao dunia nzima.Nyege za kitunguu swaumu hizoπŸ˜€πŸ˜€
 
Nadhani pia umri wao unaruhusu

Hayo mambo yanafaa mkiwa kwenye gari.

Umbali wa kilomita 50 unakuta umeshamuwasha mara 3.

Mkifika room unamalizia viwili vya kulalia πŸ™Œ
Kwenye gari napenda mtoto akae kihasarahasara, nadrive huku nagusagusa maeneo! Aaah! maisha hayahitaji userious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…