makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kizazi cha nyoka hiki, hakina haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna miaka wanawake wa Tanga walikuwa wanamind sana jamaa wenye pikpik kuliko wenye magar, niliuliza kwa nini wenyeji walijibu kuwa wanapenda wakiwa wamepakiwa kwenye pikipiki wawe wanakaa mikao fulani, kukumbatia na mambo kama hizo..... mwanangu mmoja anaitwa Kamafa aisee alikuwa anawanyandua balaa kbs vile alikuwa na HONDA lile Cc 500.
Inatakiwa uende hatua mbele zaidi Kwa kupaki pembeni then unamchapa a little bitKwenye gari napenda mtoto akae kihasarahasara, nadrive huku nagusagusa maeneo! Aaah! maisha hayahitaji userious
Ukwel wahuni wanaleta Raha dunianiRelax, maisha hayapo complicated hivyo. Kila mtu afanye linalompa raha bila kuvunja sheria, maisha ni mafupi sana Ili mradi usivunje sheria. Ku kiss kwenye public hairuhusiwi kisheria lakini ku kiss ukiwa kwenye motion kama huyo mhuni sio kosa kisheria. Kwasababu ukimwangalia wewe ndo umejipendekeza. Halafu, Kila nchi lazima iwe na wahuni Ili kuleta amsha amsha sio nchi inapoa kama North Korea.
Dereva km anawivu hivi..