Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Kwa ule uchafu ninaounaga kwenye Kill Marathon,nasema usithubutuuuu. Pombe na nyama choma ndio mkata dau.
Kama ni Professional kwangu ningemfikiria.Safi,kwangu hata kama angekuwa nayo ningemstaafisha kwa manufaa yangu.
Acha woga. Waruhusuni waje kwenye Marathon.Kwa namna ninavyowaona wanawake na vichupi vyao wanavyokimbia navyo ambavyo huwa vinaichora kabisa kile kiburudisho chao sitaruhusu mke wangu kukimbia kwenye huo uhuni
Vipi safari ya kikazi na boss wake?Anatoka daslam anakuja kukimbia dodoma apo Kuna kitu mazee
Namruhusu ndio.Mke wako au mpenzi wako akikuaga anaenda kukimbia mbio za Marathon utamkubalia aende peke yake au utataka muende wote kukimbia pamoja?
😂😂Tunasindikiza na picha.
Tambua tu mkeo atavaa hiviView attachment 3636463
Hapoo 🙌🙌🙌🤣🤣🤣As long as hana carrier ya "Athlet" basi hawezi kwenda hata kwa dawa.
Ndomana unaambiwa kama mkeo awez kujisimamia msimamei ukichoka kumsimamia achana nae mfanya mlinzi wa nyumba na watoto wako,Mke wako au mpenzi wako akikuaga anaenda kukimbia mbio za Marathon utamkubalia aende peke yake au utataka muende wote kukimbia pamoja?
Hahahahaah, mwaka huu tumepata sana pesa za vitunguu pamoja na za ufuta. Leteni wake zenu tena wapiga Pipe kama tulivyowafanya mwaka jana.Hio mtakimbia nyinyi walima vitunguu
Wewe si binti?Namruhusu ndio.