Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Hapa inategemea unatafutwa na watu gani mkuu na pia mlivyozoeshana....kama mm najua kabisa hakuna mtu wa kunitafuta mume atilie mashaka the same applies kwake...siwezi ogopa kumpa simu yangu na yeye hawezi ogopa kunipa simu yakeaaaaah kwa mapenzi ya siku hizi unaweza kujikuta unaharibu amani yote mliyonayo kisa simu... sasa suluhisho ni kila mtu akae na simu yake
Hahahaha wa jinsia zote?
Hujakosea.