Unaweza kumruhusu rafiki yako kuwa huru na simu yako?

Unaweza kumruhusu rafiki yako kuwa huru na simu yako?

aaaaah kwa mapenzi ya siku hizi unaweza kujikuta unaharibu amani yote mliyonayo kisa simu... sasa suluhisho ni kila mtu akae na simu yake
Hapa inategemea unatafutwa na watu gani mkuu na pia mlivyozoeshana....kama mm najua kabisa hakuna mtu wa kunitafuta mume atilie mashaka the same applies kwake...siwezi ogopa kumpa simu yangu na yeye hawezi ogopa kunipa simu yake

Ila mtu ukijua kabisa huna imani na wanaokutafuta afadhal kweli kila mtu akae na simu yake kuepusha kelele
 
Haiwezi tokea na ni marufuku rafiki yangu au mtu yeyote kuwa karibu na simu yangu ni mwiko
 
Me hapana, ila wao wanapenda san nishike but huwa siwez kufanya hivyo
 
Nilivyosoma tu post yako na michango yako, nikajua you have things to hide. Kama ulivyosoma majibu ya watu, dunia bado ina watu wastaarabu na wenye kujiheshimu.
Usichukulie kila kinachoandikwa humu serious hii ni jf bro chill.
 
Back
Top Bottom