Unaweza kumruhusu rafiki yako kuwa huru na simu yako?

Unaweza kumruhusu rafiki yako kuwa huru na simu yako?

ledada

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
16,993
Reaction score
65,237
Habari za jioni wapendwa!?

Leo kuna kijana mmoja kaniambia kuwa ako na rafiki yake wa kike ambaye amezoea na yuko huru sana kushika simu yake (simu ya huyo kijana) na kijana yupo huru pia kufanya hivyo kwa simu ya hiyo dada.

Swali kwenu wananzengo unaweza kumruhusu rafiki yako awe huru na simu yako?

Mashushu ruksa nimemiss kucheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
inategemea kama huyo rafiki yangu ana ukaribu wanamna gani na mpenzi wangu
 
rafiki yangu sawa atashika though kuna sehemu hawezi kuingia sababu ya security.. ila simu anashika fresh...na zao pia nashika kiroho safi

lakini mpenzi wangu simu yangu haimuhusu kabisaaaaa na mimi ya kwake pia naiogopa kama ukoma
 
Naheshim sim ya mtu haijalishi ni nani kwangu n mwiko kuishika bila kupewa na mwenyewe tena labda niangalie kitu ntaangalia niirudishe siwez kupekua
 
Tena kumruhusu ashike bali atakaa nayo atakavyo kama sina uhitaji nayo.

Utafiti wangu unaniambia wanaoongoza kuficha hata sio masuala ya kimapenzi.

-Waongo -yaliyo kwenye simu zao hayafanani na wayasemayo midomoni (kwenye maisha yao kiujumla)
 
Back
Top Bottom