Unaweza kumsamehe mpenzi wako kwa kukuminya kende au kukupiga kofi kwenye kende?

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
3,977
Reaction score
5,339
Ndio kama kichwa kinavyojieleza,

Unaweza kumsamehe mpenzi wako kwa kukuminya kende au kukupiga kofi kwenye kende? Hivi unaweza kuendelea na mahusiano na msichana kama huyo?

Be honesty and tell honestly
 
Kitendo cha mwanamke kuthubutu kushika hiyo sehemu ni sawa sawa na mtu mweupe au mzungu kumwita mwafrika nigga mbele ya kadamnasi, haina mjadala kuwa kinachofuata hapo ni kipigo kizito.

Mwanamke anatakiwa kuheshimu vitu viwili kwa mwanaume, kuheshimu pesa za mwanaume na zile pumbu hizo ni vitu mbili ambazo haziguswi hata iwaje.
 
Unapata wapi nguvu za kumpiga wakati kakuminya na unaugulia?!
 
Makalio tunaruhusiwa kuyashika Na kuyapiga makofi
 
Halafu mapumbu yapo delicate, kama glass na ndiyo maana yamefichwa hayapo mgongo wala sehemu ambayo yanaweza kuumia kirahisi. Mtu akaziminya unaweza shangaa mzee mzima na ndevu ukalia kwa sauti ya kwanza.
 
Ukishafikia stage ya mahusiano mnaanza kuleteana madhara. Ni bora kupeana muda wa kutafakari kama mnaweza kuishi kwa amani. Kwa nini mje muumizane mpaka kuharibiana mifumo ya uzazi?! Hapo kuna love kweli mkuu, au mnaishi kwa mazoea?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…