Unaweza kumsamehe mpenzi wako kwa kukuminya kende au kukupiga kofi kwenye kende?

Unaweza kumsamehe mpenzi wako kwa kukuminya kende au kukupiga kofi kwenye kende?

Kitendo cha mwanamke kuthubutu kushika hiyo sehemu ni sawa sawa na mtu mweupe au mzungu kumwita mwafrika nigga mbele ya kadamnasi, haina mjadala kuwa kinachofuata hapo ni kipigo kizito.

Mwanamke anatakiwa kuheshimu vitu viwili kwa mwanaume, kuheshimu pesa za mwanaume na zile pumbu hizo ni vitu mbili ambazo haziguswi hata iwaje.
Ongeza sauti kidogo umesema na zile nini hapo...😂😂🙌 hakika siwezi kumgusa babe wangu nisije kosa utamu bure zikikatika.🏃‍♀️ ila ni kweli zinauma hivo hadi mseme zisiguswe wakuu? Au mnatuektia tu.
 
Utayaonaje sasa?! Ukiwa na mwanaume chunguza sana kama atakuachia uyaone au kuyashika makalio yake kizembe.

Akikuachia huyo mwanaume ana walakini.
Mbona unaongeza masharti jamani
Na tulivyo tubayaa
 
Inategemea amekuminya kwa kiasi gani na dhamira aliyokuwa nayo.
 
Inasemekana ni zaidi ya uchungu wa kuzaa
Duh nakumbuka nilikuaga mdogo ila kuna tukio halifutiki kichwani, tulikua home na mama , mara tukasikia jirani mke anagombana na mumewe, niliskia huyo baba analia kwa uchungu mno ikabidi mama atoke namimi nikamfata aisee niliona huyo mke anamvuta pumbu mumewe katoka naye ndani kazishikilia anavuta aisee yule baba alivolia na kuomba msamaha aachiwe, ndiyo nakumbuka kwamba huenda kweli zinauma sana. Mimi siwezi kuumiza mali ambazo tunatumia wote, nahisi tunaumiza watoto Mungu aliowahifadhi humo🤭 .
Ila muache jeuri sasa😂
 
Duh nakumbuka nilikuaga mdogo ila kuna tukio halifutiki kichwani, tulikua home na mama , mara tukasikia jirani mke anagombana na mumewe, niliskia huyo baba analia kwa uchungu mno ikabidi mama atoke namimi nikamfata aisee niliona huyo mke anamvuta pumbu mumewe katoka naye ndani kazishikilia anavuta aisee yule baba alivolia na kuomba msamaha aachiwe, ndiyo nakumbuka kwamba huenda kweli zinauma sana. Mimi siwezi kuumiza mali ambazo tunatumia wote, nahisi tunaumiza watoto Mungu aliowahifadhi humo[emoji2960] .
Ila muache jeuri sasa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sis umeshuhudia matukio
 
Ndio kama kichwa kinavyojieleza, hivi unaweza kuendelea na mahusiano na msichana kama huyo?! Be honesty and tell honestly!
Enzi hizo kabla sijaoa nilikuwa na manzi kila tukigombana na kupigana alikuwa anakimbilia kende zangu ,,anazivuta ....nilimsamehe mara kadhaa ...ila kuna siku alikuja akanipiga teke kunako huko nyeti Aiseee....Aiseee.Nililala chini nilivyoinuka nilijikuta nimedanda juu ya kichwa chake na kuachilia mapigo ya don yen ,ukawa mwisho wetu ..

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂 pole mkuu, ila hayo yote aliyataka mwenyewe. Vipi angekudunda sehemu nyingine tofauti na hiyo ungempa hicho kipigo cha Vandame? 😂
 
Halafu mapumbu yapo delicate, kama glass na ndiyo maana yamefichwa hayapo mgongo wala sehemu ambayo yanaweza kuumia kirahisi. Mtu akaziminya unaweza shangaa mzee mzima na ndevu ukalia kwa sauti ya kwanza.
😂😂 Pole kwa experience
 
Ulikuwa dhaifu dhaifu mno, unaruhusuje akushike huko?! Huko kuruhusu tu ni unyonge.!
 
Enzi hizo kabla sijaoa nilikuwa na manzi kila tukigombana na kupigana alikuwa anakimbilia kende zangu ,,anazivuta ....nilimsamehe mara kadhaa ...ila kuna siku alikuja akanipiga teke kunako huko nyeti Aiseee....Aiseee.Nililala chini nilivyoinuka nilijikuta nimedanda juu ya kichwa chake na kuachilia mapigo ya don yen ,ukawa mwisho wetu ..

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Ulikuwa dhaifu dhaifu mno, unaruhusuje akushike huko?! Huko kuruhusu tu ni unyonge.! Angekuwa na lengo la kukuumiza zaidi angeweza, kwani alipokupiga ukaishiwa nguvu na kulala ukiugulia, so hukuwa mshindi ila ulihurumiwa tu.!
 
Ongeza sauti kidogo umesema na zile nini hapo...😂😂🙌 hakika siwezi kumgusa babe wangu nisije kosa utamu bure zikikatika.🏃‍♀️ ila ni kweli zinauma hivo hadi mseme zisiguswe wakuu? Au mnatuektia tu.
Mpk Uzi umeanzishwa unafikiri haziumi! Usijekujaribu utakosa meno ya sebureni..😂
 
Back
Top Bottom