Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
- Thread starter
-
- #41
Hilo janaume ni f@la na lof@ kuwahi kutokea.! Kwa nini msingeliongezea mkong'oto? Nimechukia eti mlimsaidia, kwa nini? Majitu kama hayo ni ya kuyaongeza kipigo tu.!Duh nakumbuka nilikuaga mdogo ila kuna tukio halifutiki kichwani, tulikua home na mama , mara tukasikia jirani mke anagombana na mumewe, niliskia huyo baba analia kwa uchungu mno ikabidi mama atoke namimi nikamfata aisee niliona huyo mke anamvuta pumbu mumewe katoka naye ndani kazishikilia anavuta aisee yule baba alivolia na kuomba msamaha aachiwe, ndiyo nakumbuka kwamba huenda kweli zinauma sana. Mimi siwezi kuumiza mali ambazo tunatumia wote, nahisi tunaumiza watoto Mungu aliowahifadhi humo[emoji2960] .
Ila muache jeuri sasa[emoji23]
Kwanini? Kwamba angeweza kujitoa asishikwe ? What if ndiyo alikua amemkamata sana anamminya angewezaje kujitoa kwa muda huo?Hilo janaume ni f@la na lof@ kuwahi kutokea.! Kwa nini msingeliongezea mkong'oto? Nimechukia eti mlimsaidia, kwa nini? Majitu kama hayo ni ya kuyaongeza kipigo tu.!
Tena kama ndiyo wewe nakumudu nakubinyaaa nakimbia, nikirudi hasira zimeishaa😂😂Mpk Uzi umeanzishwa unafikiri haziumi! Usijekujaribu utakosa meno ya sebureni..😂
[emoji23][emoji23][emoji23]Hilo janaume ni f@la na lof@ kuwahi kutokea.! Kwa nini msingeliongezea mkong'oto? Nimechukia eti mlimsaidia, kwa nini? Majitu kama hayo ni ya kuyaongeza kipigo tu.!
Je akiwa na lengo la kukuua? Kwa hiyo asipoamua kuachia means umekufa si ndio?! Hilo litazamwe upya, je, ikitokea kwa viongozi tegemezi wakitumiwa makahaba na kuwabinya huko? Kwa hiyo watakufa na hii itatumika kisiasa si ndio?! Linahitajika jicho la 3 kwenye hili.![emoji23][emoji23][emoji23]
Ng'ombe akifugwa kamba puani hua hafurukuti. Maana kufurukuta ni kujiumiza bro. We unarelax anakuachia... Afu ndo unaanza kutembeza kichapo
Hakufikiria tu, lilikuwa zembe kabisa hilo.!Kwanini? Kwamba angeweza kujitoa asishikwe ? What if ndiyo alikua amemkamata sana anamminya angewezaje kujitoa kwa muda huo?
😂 Nyawawa wewe kwa akili zako unafikiri mi boya tu ya kwamba unashika tu! Ntakuruhusu ushike ikiwa umesaula nguo zako zote Sasa utachagua ubinye ukimbie uchi au utulize mamikono yako tuinjoi keki ya asili..😅Tena kama ndiyo wewe nakumudu nakubinyaaa nakimbia, nikirudi hasira zimeishaa😂😂
Ohooo.. Tunahama sanaJe akiwa na lengo la kukuua? Kwa hiyo asipoamua kuachia means umekufa si ndio?! Hilo litazamwe upya, je, ikitokea kwa viongozi tegemezi wakitumiwa makahaba na kuwabinya huko? Kwa hiyo watakufa na hii itatumika kisiasa si ndio?! Linahitajika jicho la 3 kwenye hili.!
Bado hujasameheana na mkeo mkuu?Ndio kama kichwa kinavyojieleza, hivi unaweza kuendelea na mahusiano na msichana kama huyo?! Be honesty and tell honestly!
Tunahama? Kivipi?!Ohooo.. Tunahama sana
Kabla sijacomment kwanza elezea ilikuwaje mpaka akafika uko?Ndio kama kichwa kinavyojieleza,
Unaweza kumsamehe mpenzi wako kwa kukuminya kende au kukupiga kofi kwenye kende?!
Hivi unaweza kuendelea na mahusiano na msichana kama huyo?! Be honesty and tell honestly!
Halafu mapumbu yapo delicate, kama glass na ndiyo maana yamefichwa hayapo mgongo wala sehemu ambayo yanaweza kuumia kirahisi. Mtu akaziminya unaweza shangaa mzee mzima na ndevu ukalia kwa sauti ya kwanza.
Angepiga ngumi ya maana ya pua lazima angeachiwa Tu...btw alikuwa uchi mpaka kashikwa huko kirahisi?Kwanini? Kwamba angeweza kujitoa asishikwe ? What if ndiyo alikua amemkamata sana anamminya angewezaje kujitoa kwa muda huo?
Hizi ngumi huwa zinaua. Kuweni makini mnapotoa adhabu za namna hiyo kwani wengi wanaozea jela sasa kwa maamuzi yasiyo makini.Angepiga ngumi ya maana ya pua lazima angeachiwa Tu...btw alikuwa uchi mpaka kashikwa huko kirahisi?
Mapenzi tuyaache tu, kuna mtu alimsamehe mkewe aliyemwekea sumu kwenye msosi.Amekuminya kwa nguvu, dhamira ni kukufanya usimsahau.!
Kwahyo kuminywa kende Ni Sawa?Hizi ngumi huwa zinaua. Kuweni makini mnapotoa adhabu za namna hiyo kwani wengi wanaozea jela sasa kwa maamuzi yasiyo makini.
Hahaha... Aisee mkuu umejua kunichekesha. On a serious note ungekuwa mwanaume ungeelewa kwamba ile ni sehemu ambayo inatakiwa ilindwe at all cost. Unaweza shangaa mtu akakuhasi mchana kweupe. Hahah...[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umeongea kwa uchungu sana
Mpaka nikamkumbuka yule mwalimu wako aliekufundisha kula kimasihara