frenderPH JF-Expert Member Joined Oct 30, 2019 Posts 621 Reaction score 817 Nov 8, 2021 #81 Habun said: Tushajua sasa, wale vidume mnajifanya mna nguvu sana za kupiga wanawake na za kutafuta pesa hamna hii ndio dawa yenu. Ni kuziminya sawasawa halafu unachomoka speed ya light. Click to expand... Usije ukajaribu utapigwa ufe Unajua ni shida gani tunapata kutembea nazo mda wote[emoji23][emoji23][emoji23] , mimi atakae jaribu kuchezea mali inayotunza heshima ya Uvulana wangu nitakula nae sahani moja.
Habun said: Tushajua sasa, wale vidume mnajifanya mna nguvu sana za kupiga wanawake na za kutafuta pesa hamna hii ndio dawa yenu. Ni kuziminya sawasawa halafu unachomoka speed ya light. Click to expand... Usije ukajaribu utapigwa ufe Unajua ni shida gani tunapata kutembea nazo mda wote[emoji23][emoji23][emoji23] , mimi atakae jaribu kuchezea mali inayotunza heshima ya Uvulana wangu nitakula nae sahani moja.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 86,410 Reaction score 169,862 Nov 8, 2021 #82 frenderPH said: Usije ukajaribu utapigwa ufe Unajua ni shida gani tunapata kutembea nazo mda wote[emoji23][emoji23][emoji23] , mimi atakae jaribu kuchezea mali inayotunza heshima ya Uvulana wangu nitakula nae sahani moja. Click to expand... Basi tulindiane heshima wote ila ukokosa adabu ni zinaminywa vizuri tu.
frenderPH said: Usije ukajaribu utapigwa ufe Unajua ni shida gani tunapata kutembea nazo mda wote[emoji23][emoji23][emoji23] , mimi atakae jaribu kuchezea mali inayotunza heshima ya Uvulana wangu nitakula nae sahani moja. Click to expand... Basi tulindiane heshima wote ila ukokosa adabu ni zinaminywa vizuri tu.