Na alivyo mweupe chap namzaliaNgoja akwambie mzalie pacha
Hiyo combo iskiage tu bara bara utavuka kesho nguvu unayo tatizo taa za magariHii noma sana😁
Kumbe mchawi rangiNa alivyo mweupe chap namzalia
Yeah! Nataka watoto machotaraKumbe mchawi rangi
😁😁Na alivyo mweupe chap namzalia
Nitakupasua😒
Figo sio kitu cha kuninyimaWewe kunywa visungura huko , halafu nije kukupa figo , sinaga figo ya mchezo😁😁
Jidanganye 😁Figo sio kitu cha kuninyima
Ogopa sanaNimeshaangali youtube watu wanawayolea wapenzu wao figo lakini wanakuja kuachwa.
Dadeq chotara mwenye asili ya kagame land atatesa sana miaka ya 2050Yeah! Nataka watoto machotara
Halafu nitamuita Malaika we huogopi?🤔Dadeq chotara mwenye asili ya kagame land atatesa sana miaka ya 2050
Njoo gheto uchukue😁😁🙄nataka wine