Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

Kwani malaika ina shida gani
Screenshot_20240819-104128.png
 
An
Ni kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri.
Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo.
Changamoto nyingine zinaweza kutatulika nyingine zikashindwa kutatulika.
Lakini mwisho wa Siku Maisha lazima yaendelee.
Sasa Je unaweza kumtolea Figo Kipenzi chako?

Zingatia: Hii haihusiani ndugu.
Angalizo:Mke au mume ni rafiki na sio ndugu.. Asantrni
 
Ni kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri.
Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo.
Changamoto nyingine zinaweza kutatulika nyingine zikashindwa kutatulika.
Lakini mwisho wa Siku Maisha lazima yaendelee.
Sasa Je unaweza kumtolea Figo Kipenzi chako?

Zingatia: Hii haihusiani ndugu.
Ilikuwa zamani kwa wazee wetu, ila siku hizi may be kwenye movie za Wafilipino ndio wanafanyiana hivyo.
 
Back
Top Bottom