Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Usimuite malaika utakua umeharibu asije akatrace historia ya huyo mtu na akamchukulia kama idol wakeHalafu nitamuita Malaika we huogopi?🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimuite malaika utakua umeharibu asije akatrace historia ya huyo mtu na akamchukulia kama idol wakeHalafu nitamuita Malaika we huogopi?🤔
Kwani malaika ina shida ganiUsimuite malaika utakua umeharibu asije akatrace historia ya huyo mtu na akamchukulia kama idol wake
Kwani malaika ina shida gani
Achana na huyu! Mtoto wangu atakua na umbo og
Kijana wangu atafaidi sanaAchana na huyu! Mtoto wangu atakua na umbo og
Kumbe unataka tuunganishe ukoo?Kijana wangu atafaidi sana
Muhimu hiyo!Kumbe unataka tuunganishe ukoo?
Angalizo:Mke au mume ni rafiki na sio ndugu.. AsantrniNi kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri.
Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo.
Changamoto nyingine zinaweza kutatulika nyingine zikashindwa kutatulika.
Lakini mwisho wa Siku Maisha lazima yaendelee.
Sasa Je unaweza kumtolea Figo Kipenzi chako?
Zingatia: Hii haihusiani ndugu.
Ilikuwa zamani kwa wazee wetu, ila siku hizi may be kwenye movie za Wafilipino ndio wanafanyiana hivyo.Ni kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri.
Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo.
Changamoto nyingine zinaweza kutatulika nyingine zikashindwa kutatulika.
Lakini mwisho wa Siku Maisha lazima yaendelee.
Sasa Je unaweza kumtolea Figo Kipenzi chako?
Zingatia: Hii haihusiani ndugu.
Mimi siogopagi kitu coz naamini hata haya maisha ni temporary tu.🌷🌷🌷pokea maua yako