Unaweza kumuacha umpendae?

Unaweza kumuacha umpendae?

Sorry Dena nilikuwa Gest, bahati mbaya nikachelewa....bado hali inabaki ile ile kwamba kumuacha itakuwa vigumu kwa sababu bado anampenda

Ni bahati mbaya kwamba alipenda asipopendwwa na hilo lipo sana katika maisha ya kila siku

Muhimu ni kupiga moyo konde, na kuangalia maisha yajayo

By the way mwambia anione (mpe address yangu) nimsahaulishe machungu au unaonaje

mhhh...yale yale...kweli kuchokwa kubaya.
 
Sasa kama ni ya mwanamke, mbona mwanaume akiyachezea mnaheuka?

Sasa ushasema mkiyachezea si unajua raha ya mchezo wewe? Babu jamani mbona mchokozi hivyo mie sitaki bwana!!!
 
@chauro @afrodenzi mi sio mnachobishana hapo nyie wote mko sawa ila katika mtazamo tofauti njia sio tatizo cha msingi ufike unapokwenda na kwa muda unaotakiwa.Hakuna mtaalamu kwenye mambo haya ila kila mmoja ana Strategy zake so ur al ryt
 
Back
Top Bottom