Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAPANASasa nimeelewa huu msemo unamaanisha nini.
Hitaji namba moja la mwanaume ni heshima na hitaji namba moja la mwanamke ni upendo.
Kumbe upendo na heshima ni vitu vinavotegemeana🤔
Kabisa haiwezekani eti mtu akupende alafu hakueshimuWote tu , tunahitaji kupendwa na kuheshimiwa 🤔🤔🤔
Infact,Sasa nimeelewa huu msemo unamaanisha nini.
Hitaji namba moja la mwanaume ni heshima na hitaji namba moja la mwanamke ni upendo.
Kumbe upendo na heshima ni vitu vinavotegemeana🤔
Hiyo package ya heshima ipo ndani ya upendo, huwezi kumpenda mtu alafu usimheshimu, kama humuheshimu means humpendi.Mwanaume anahitaji heshima tu, heshima ambayo yeye atatafsiri ni upendo.
😁😁😁😁😁😁 Nadra sana kuheshimiwa kama hupendwi. Na alieleta equation ya mwanamume sharti ampende mwanamke ili aheshimiwe naona alikuwa kachanganyikiwa.Hiyo package ya heshima ipo ndani ya upendo, huwezi kumpenda mtu alafu usimheshimu, kama humuheshimu means humpendi.