Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Yule mwamba anaupiga mwingi mpaka unamwagika, ni mchezaji wa viwango vya juu, anajua na anajua Tena na Tena
Kuna kopi za wakina Pacome wameamua kumuiga na wao wakaweka bleach🤣🤣 lakini uchezaji wao ni Kama konokono wa migombani!
Huyu bwana energy yake, maarifa yake ni babkubwa, anatoa somo kwa viungo wengi hapa Tanzania, jamaa analijua boli!
Diarra huyo anabaki kuwa mmoja tu Tanzania wengine wote wakachukue vitabu na kujifunza na amekaa kimya ameacha mikono yake iongee uwanjani keshafanya mengi na keshadhihirisha ubora wake na sio kelele za matarumbeta!
YOTE KWA YOTE KUNA PACOME MMOJA TU MWENYE BLEACH OGOPENI WENGINE NI MATAPELI!