Unaweza kupangiwa shule ya Serikali ukifanya mtihani kama private candidate?

Unaweza kupangiwa shule ya Serikali ukifanya mtihani kama private candidate?

Super human

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2015
Posts
1,147
Reaction score
749
Kuna dogo anasoma kupitia hii system ya QT na PC hii imekaaje wadau?
 
Yaap unaweza ila unatakiwa uwe umefaulu kwelikweli... Pia na umri usiwe above 23
 
ukifanya mtihani kama PRIVATE CANDIDATE hauwezi kuchaguliwa shule za serikali kwa sababu haupo katika mfumo wa kuchaguliwa.
 
Back
Top Bottom