GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
Nashukuru nitafuatiliaNimesikia kuna utaratibu saiv wa kurudia darasa la 7 kwa waliofeli, kuna form zipo zinatolewa (sema utaratibu wake sijaufatilia) na anarudia kwa jina lake hilo hilo bila kubadili.
Ukiona vipi ndy umpeleke shule nyingn ama hiyohiyo aliyosomea kwa jina lingine tena. Upo utaratibu wa kufuata, ukifuatilia utajulishwa.
Zipo mtandaoni au unazionea wapi?Selection za form 1 zimetoka leo.
Nafuatilia kama wamemchukua nitashukuru na kufanya taratibu za kumuhamishaWamechukua A-C kwahiyo hana haja ya kurudia
Sawa, nitalifanyia kazi hiloC amefaulu, atachaguliwa shule ya serikali.
Akiwa f1 hakikisha anahudhuria siku zote 194 hata kama anaumwa malaria, awe na sare safi, madafutari ya kutosha na uwe unajenga mawasiliano ya karibu kati yako na mwl wa darasa, nidham na taaluma. Pia usisahau kuwatoa walimu wake buku 5 au muda wa chai unawatoa chapati mbili kila mtu.
Mpwa wako atahudumiwa kama mla tozo na vitabu vyote atapewa bila kuandikwa popopte.
Msisitze awe na nidham
Asante, nimeona amechaguliwa.Wamechukua A-C kwahiyo hana haja ya kurudia