KISOZIMOTO
Member
- Feb 13, 2014
- 8
- 7
Habari waungwana! ndugu yangu ana degree ambayo si ya education, ila anataka kusoma diploma ya education vipi inakubalika? Hana uwezo wa kifedha wa kusoma postgraduate!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpe pole sana,tazito la ajira ni janga,ila mim namshauri kama anaweza atafute shule za private atapata kufundisha maana kuna jamaa zangu wanafundisha na wanalipwa vzr tu na co walimu,kisha akusanye pesa akasome post graduate ,akishindwa aende tu diploma maana pia nina jamaa zangu wpo diploma chuo x walisoma degree zenye ajira ngumu na wamemaliz mwaka uu.