Unaweza Kusoma diploma ya education ukiwa na degree tofauti?

Unaweza Kusoma diploma ya education ukiwa na degree tofauti?

KISOZIMOTO

Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
8
Reaction score
7
Habari waungwana! ndugu yangu ana degree ambayo si ya education, ila anataka kusoma diploma ya education vipi inakubalika? Hana uwezo wa kifedha wa kusoma postgraduate!
 
Mpe pole sana, tazito la ajira ni janga, ila mim namshauri kama anaweza atafute shule za private atapata kufundisha maana kuna jamaa zangu wanafundisha na wanalipwa vizuri tu na co walimu, kisha akusanye pesa akasome post graduate, akishindwa aende tu diploma maana pia nina jamaa zangu wapo diploma chuo x walisoma degree zenye ajira ngumu na wamemaliza mwaka huu.
 
mpe pole sana,tazito la ajira ni janga,ila mim namshauri kama anaweza atafute shule za private atapata kufundisha maana kuna jamaa zangu wanafundisha na wanalipwa vzr tu na co walimu,kisha akusanye pesa akasome post graduate ,akishindwa aende tu diploma maana pia nina jamaa zangu wpo diploma chuo x walisoma degree zenye ajira ngumu na wamemaliz mwaka uu.

asante ndugu kwa wazo lako zuri, je akisoma diploma inakubalika?
 
Karb Songea, Matogoro Tc,,tupo Na Wenzako Wengi Tu Hapa Wanacomea Dip Ya Ualimu,,yote Maisha.
 
Kasome degree ya nini mkuu? Tunaweza kutoa ushauri mbala.
 
Inakubalika sana tu, ila inabidi atumie cheti cha 4m 6.
 
Back
Top Bottom