Unaweza kutekwa, na ukapigwa kwa amani kabisa, ila watakaokuokota ndio wataleta siasa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Unaweza kuta mtu umetekwa kwa amani kabisa, wamekupiga wamekung'oa kucha zako vizuri

Umepambana mwenyewe, umeokotwa baadae ukiwa katika hali yako mbaya vizuri kabisa

Siasa zinaanzia hapo, watu wataanza kugombana ili kubeba credits, mara nani kakuokota, nani kakusalimia wa kwanza, nani sijui chupa ya damu kama ilikuwepo. Nani katuma hela hospitali tsh ngapi, mara kwenye scene rais huyo, mara hili mara lile.

Wakati huo wewe uko zako na drip zako na madawa kibao kwa amani kabisa.
 
Vijana km hao wajitokeze wengine wengi wapewe 35 zao mapema wasilaze damu Vijana changamkieni fursa hio
 
Unaweza kuta mtu umetekwa kwa amani kabisa, wamekuiga wamekung'oa kucha zako vizuri

Umepambana mwenyewe, umeokotwa baadae ukiwa katika hali yako mbaya vizuri kabisa

Siasa zinaanzia hapo, watu wataanza kugombana ili kubeba credits, mara nani kakuokota, nani kakusalimia wa kwanza, nani sijui chupa ya damu kama ilikuwepo. Nani katuma hela hospitali tsh ngapi, mara kwenye scene rais huyo, mara hili mara lile.

Wakati huo wewe uko zako na drip zako na madawa kibao kwa amani kabisa.
Waliorushiwa ndongo nao limewapata kwa amani kabisa,nao wanaocheka wanacheka kwa amani kabisaa
 
Vijana km hao wajitokeze wengine wengi wapewe 35 zao mapema wasilaze damu Vijana changamkieni fursa hio
Siku hizi ubinadamu hakuna. Mwenzako anatumia wewe unafanya utani. Ila huwezi jua, ipo siku usiodhania yakakutokea ukakosa wa kukusaidia , ukalia Kwa uchungu ila hakuna wa kukuokoa.

Furahia Kwa sababu halijakukuta.
 
Unaweza kuta mtu umetekwa kwa amani kabisa, wamekupiga wamekung'oa kucha zako vizuri

Umepambana mwenyewe, umeokotwa baadae ukiwa katika hali yako mbaya vizuri kabisa

Siasa zinaanzia hapo, watu wataanza kugombana ili kubeba credits, mara nani kakuokota, nani kakusalimia wa kwanza, nani sijui chupa ya damu kama ilikuwepo. Nani katuma hela hospitali tsh ngapi, mara kwenye scene rais huyo, mara hili mara lile.

Wakati huo wewe uko zako na drip zako na madawa kibao kwa amani kabisa.
wasio kuwa na sauti nao wasemeje ndugu zao. alafu we mtekaji acha kufanya watu wasipaze.ulitegemea mtu afe ndio tukose ushahidi
 
Unaweza kuta mtu umetekwa kwa amani kabisa, wamekupiga wamekung'oa kucha zako vizuri

Umepambana mwenyewe, umeokotwa baadae ukiwa katika hali yako mbaya vizuri kabisa

Siasa zinaanzia hapo, watu wataanza kugombana ili kubeba credits, mara nani kakuokota, nani kakusalimia wa kwanza, nani sijui chupa ya damu kama ilikuwepo. Nani katuma hela hospitali tsh ngapi, mara kwenye scene rais huyo, mara hili mara lile.

Wakati huo wewe uko zako na drip zako na madawa kibao kwa amani kabisa.
Punguza uchawa na unafiki. Jambo Kama halijakukuta usilifanyie mzaha. Ipo siku litakukuta wewe na utalia Kwa sauti na hakuna wa kukusaidia.

Usitembee Kwa maringo na dharau kwenye Dunia usilojua kesho kitatokea Nini.
 
Unaweza kuta mtu umetekwa kwa amani kabisa, wamekupiga wamekung'oa kucha zako vizuri

Umepambana mwenyewe, umeokotwa baadae ukiwa katika hali yako mbaya vizuri kabisa

Siasa zinaanzia hapo, watu wataanza kugombana ili kubeba credits, mara nani kakuokota, nani kakusalimia wa kwanza, nani sijui chupa ya damu kama ilikuwepo. Nani katuma hela hospitali tsh ngapi, mara kwenye scene rais huyo, mara hili mara lile.

Wakati huo wewe uko zako na drip zako na madawa kibao kwa amani kabisa.
Kutekwa kwa amani na kung'olewa
kucha kistaarabu kabisa ndiyo aina gani hiyo ya kutekwa?
 
Unaweza kuta mtu umetekwa kwa amani kabisa, wamekupiga wamekung'oa kucha zako vizuri

Umepambana mwenyewe, umeokotwa baadae ukiwa katika hali yako mbaya vizuri kabisa

Siasa zinaanzia hapo, watu wataanza kugombana ili kubeba credits, mara nani kakuokota, nani kakusalimia wa kwanza, nani sijui chupa ya damu kama ilikuwepo. Nani katuma hela hospitali tsh ngapi, mara kwenye scene rais huyo, mara hili mara lile.

Wakati huo wewe uko zako na drip zako na madawa kibao kwa amani kabisa.
Kutekwa kwa amani kun'golewa kucha kupigwa ni jambo la amani?Amani gani hiyo unayosema? Wewe inaonyesha una unga mkono utekaji wa watu? Nchi haina amani ukiona nchi kuna mambo ya kiharamia ya Utekaji wa watu na kuna Polisi, Jeshi halafu hakuna kitu kinachofanyika ujuwe hiyo nchi haipo kwenye amani. Waziri wa Mambo ya ndani Mheshimiwa Masauni hafanyi kazi yake ipasavyo anapaswa kujiuzulu katika uongozi wake au kuondolea madarakani Mama Rais anamlinda Waziri Masauni.
 
Kupigwa na kutekwa kwa amani kukoje? Michael nnavyojua mwanamke ndio anatekwa kwa amani na kupigwa (kugongwa) kwa amani na upendo
 
Siku hizi ubinadamu hakuna. Mwenzako anatumia wewe unafanya utani. Ila huwezi jua, ipo siku usiodhania yakakutokea ukakosa wa kukusaidia , ukalia Kwa uchungu ila hakuna wa kukuokoa.

Furahia Kwa sababu halijakukuta.
Nini unazungumzia?
 
Kutekwa kwa amani kun'golewa kucha kupigwa ni jambo la amani?Amani gani hiyo unayosema? Wewe inaonyesha una unga mkono utekaji wa watu? Nchi haina amani ukiona nchi kuna mambo ya kiharamia ya Utekaji wa watu na kuna Polisi, Jeshi halafu hakuna kitu kinachofanyika ujuwe hiyo nchi haipo kwenye amani. Waziri wa Mambo ya ndani Mheshimiwa Masauni hafanyi kazi yake ipasavyo anapaswa kujiuzulu katika uongozi wake au kuondolea madarakani Mama Rais anamlinda Waziri Masauni.
Najua unaelewa ujumbe uliomaanishwa hapo. Nimekujibu wewe nikiamini ufahamu wako ni tofauti na hao wengine walioreply hapa
 
Kutekwa kwa amani kun'golewa kucha kupigwa ni jambo la amani?Amani gani hiyo unayosema? Wewe inaonyesha una unga mkono utekaji wa watu? Nchi haina amani ukiona nchi kuna mambo ya kiharamia ya Utekaji wa watu na kuna Polisi, Jeshi halafu hakuna kitu kinachofanyika ujuwe hiyo nchi haipo kwenye amani. Waziri wa Mambo ya ndani Mheshimiwa Masauni hafanyi kazi yake ipasavyo anapaswa kujiuzulu katika uongozi wake au kuondolea madarakani Mama Rais anamlinda Waziri Masauni.
Kwa hio kosa la Nani?
 
Unaweza kuta mtu umetekwa kwa amani kabisa, wamekupiga wamekung'oa kucha zako vizuri

Umepambana mwenyewe, umeokotwa baadae ukiwa katika hali yako mbaya vizuri kabisa

Siasa zinaanzia hapo, watu wataanza kugombana ili kubeba credits, mara nani kakuokota, nani kakusalimia wa kwanza, nani sijui chupa ya damu kama ilikuwepo. Nani katuma hela hospitali tsh ngapi, mara kwenye scene rais huyo, mara hili mara lile.

Wakati huo wewe uko zako na drip zako na madawa kibao kwa amani kabisa.
Ungedadavua hiyo kutekwa kwa amani ni kivipi? Sijaelewa
 
Kwamba na hata mughwayo alipigwa ma rusasi kwa amani kabisa, anachiba kwa amani kabisa.??
Wacha masikhara wewe watu wanaponea kwenye tundu ya sindano kuuwawa unasema kwa amani?!.
Hivi unajua ukiwa captive unaweza kufanywa chochote bila kujitetea? Hayo ni mazingira mabaya sana,wanaweza kuamua hata kukulawiti na hakuna wa kukutetea.
 
Zoezi la kumsaidia ndugu yetu lilikuwa linaenda vizuri sana. TULIWAPONGEZA

Kosa kubwa walilolifanya ni kuruhusu miongoni mwa watesi kushiriki wakapiga na maphotoo mingi mingi. Washiriki hawatajisamehe hata siku moja.

Unaamua kuketi barazani na wenye mizaha?

Wamevuna walichopanda
 
Back
Top Bottom