Unaweza kutekwa, na ukapigwa kwa amani kabisa, ila watakaokuokota ndio wataleta siasa

Unaweza kutekwa, na ukapigwa kwa amani kabisa, ila watakaokuokota ndio wataleta siasa

Najua unaelewa ujumbe uliomaanishwa hapo. Nimekujibu wewe nikiamini ufahamu wako ni tofauti na hao wengine walioreply hapa
Matumizi mazuri ya lugha katika uwasilishaji wa maada hii, unewaacha hadhira wasielewe ujumbe uliomo. Na ni kiswahili kimeandikwa hapo, dah.
 
Kwa hio kosa la Nani?
kosa la Waziri wa Mambo ya ndani ndie anaye jua kila kitu kuhusu hayo matatizo ya utekaji yeye ndie Mkuu wa ulinzi wa mambo ya ndani ya nchi anapaswa kulaumiwa vikali ili apate kujiuzulu nyadhifa yake ya U-Waziri wa mambo ya ndani haifanyii kazi ipasavyo.
 
Back
Top Bottom