Nawasalimia wote,
Kwa mara nyingine tena napost kuwasogezea fursa.
Kwa wale wanaopenda kuwekeza kwenye fursa za biashara ya kutengeneza vigae vya kupaua nyumba.
Niko na vifaa ambayo utaweza kutengeneza vigae na ukafanya biashara nzuri,naambatanisha na bei zake kabisa.
1.Moulds 200 -1,000,000
2.Mashine 2(vibrating mashine)-500,000
Installments(kulipa kwa mafungu) mara 2 inaruhusiwa.
Mafunzo pia utapata bure tu namna ya utengenezaji wake .
Materials zingine ambazo utazihitaji mpaka ukamilishaji wake ni
Mchanga
Rangi nyekundu ya unga
Katani
Cement
Meza ndogo
Sehemu ya kuanika
Ambaye yuko serious naomba tuwasiliane inbox/Private kwa maelezo ya ziada.
Napatikakna dar es salaam,kwa wateja wa mikoani tunaweza fanya utaratibu wa kuzituma.
Nimeambatanisha picha ya moulds,na sampe ya machine .
Utaalama huu nimeupata kwa taasisi ya serikali ya utafiti wa ujenzi ya serikali(NHBRA),ambao ni bure kabisa,isipokua kwenye vifaa tu.
Karibuni