Ooh darl!! Sema taratibu basi watu wasisikie!!Swit hat
tangu nikufadhili operation ya pua unataka kujidai mjanja?
Na bi mkubwa smile kaahirisha safari.
Mmmh GM..unanifanya nianze kufikiria kwenda kuuza kile kihamba changu kule milimani nije kutua kwako!!niweke ya nn hali hio hapo juu weshanianika?
lakini mambo huanza hivi hivi..umesahau kuwa chovya chovya humaliza buyu la asali?mm cmchukui moja kwa moja. Namuazma namrudsha ka alivo wala hakpungui kitu.
Mmmh GM..unanifanya nianze kufikiria kwenda kuuza kile kihamba changu kule milimani nije kutua kwako!!
lakini mambo huanza hivi hivi..umesahau kuwa chovya chovya humaliza buyu la asali?
nan kakwambia utachovya?