Merry Christmas.
Utafiti niliofanya kuhusu vizinga sugu mjini umeonyesha matokeo mazuri tu. Baharia na mamaria wote tumekuwa walalamishi sana kuhusu mizinga midogo midogo na ya kati.
Acha uzembe. 7800 imekubalika lakini unweza kuichambua ikaonekana 780000.
Hakikisha hutoi cash in hand. Kila mtu hufurahia zawadi kuliko pesa.
Mnunulie underwear ,saa,,sabuni,sandals. Kila akiiona atakukumbuka. Ukimpa pesa bhana duu!anaweza kuihonga mbele kwa mbele.