Unaweza kutoa bila kupenda,lakini huwezi penda bila kutoa.

Unaweza kutoa bila kupenda,lakini huwezi penda bila kutoa.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Merry Christmas.
Utafiti niliofanya kuhusu vizinga sugu mjini umeonyesha matokeo mazuri tu. Baharia na mamaria wote tumekuwa walalamishi sana kuhusu mizinga midogo midogo na ya kati.
Acha uzembe. 7800 imekubalika lakini unweza kuichambua ikaonekana 780000.
Hakikisha hutoi cash in hand. Kila mtu hufurahia zawadi kuliko pesa.
Mnunulie underwear ,saa,,sabuni,sandals. Kila akiiona atakukumbuka. Ukimpa pesa bhana duu!anaweza kuihonga mbele kwa mbele.
 
Kutoa zawadi ni nzuri kwasababu huwa inaacha ukumbusho lakini sometimes inaweza kuwa mbaya(taste,size inaweza kuwa haimeet na anayeletewa)

Nilishaletewa zawadi ya underwear nzuri lakini size ni ndogo sana
 
bora nimpe pesa mana unaweza mpa zawadi afu akawa hajaipenda/haitaki hvy akaitupa.
 
Back
Top Bottom