Kuna kila dalili unakula ugali wa kengele nyumbani, tena kwa kubembelezwa.
We una watoto wanadaiwa ada mke hana kazi, wazazi meseji za kutaka uwasaidie na missed call zimejaa kibao, mwenye nyumba anakupigia kila uchwao, umemsoundisha mpk kachoka kiasi ukiona simu yake roho unahisi inataka kutoka, ndani kuna sukari tu nusu kilo na unga robo vimebaki. Unatoa wapi huo ujasiri hata wa kukumbuka umepata grade gani shuleni. Yaani ije fursa kama hy na ukiipima inaonekana kbs chances za kupata hy kazi ni 90/100 , unaachaje