Unaweza kutoa pesa ili kupata ajira? Ni vipi utahakikisha kuwa hautapeliwi?

Siwezi toa rushwa nipate kazi hata siku moja boss elimu yangu sikuipata kwa sandakalawe.1.7 O-level 1.6 A-level harafu nije ninunue kazi .
Kwa hyo sa hivi Hapo TAKUKURU Wanasemaje?[emoji23][emoji23] Mkono mtupu haulambwi boss upo ?mimi na one km hizo zako na juzi nmepata kazi Taasis moja kubwa na Gross 1.8m mlungula mishahara yangu ya miezi miwili na nina dunda wala sina shida
 
๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„
 
Siwezi toa rushwa nipate kazi hata siku moja boss elimu yangu sikuipata kwa sandakalawe.1.7 O-level 1.6 A-level harafu nije ninunue kazi .
Kuna kila dalili unakula ugali wa kengele nyumbani, tena kwa kubembelezwa.

We una watoto wanadaiwa ada mke hana kazi, wazazi meseji za kutaka uwasaidie na missed call zimejaa kibao, mwenye nyumba anakupigia kila uchwao, umemsoundisha mpk kachoka kiasi ukiona simu yake roho unahisi inataka kutoka, ndani kuna sukari tu nusu kilo na unga robo vimebaki. Unatoa wapi huo ujasiri hata wa kukumbuka umepata grade gani shuleni. Yaani ije fursa kama hy na ukiipima inaonekana kbs chances za kupata hy kazi ni 90/100 , unaachaje
 
Changia mada km inavyouliza ,mbona mnanishambulia mm tu.Huo ndio umsimamo wangu hata niwe na njaa vipi siwezi toa au pokea rushwa ๐Ÿ™„๐Ÿ™„
 
Sio kweli, ingekuwa siku nyingi usingekumbuka matokeo ya sekondari.
Hayo lazima niyakumbuke babu hata nikizeeka masomo 11 nilisoma nikagonga 1.7 ya sayansi unaanzaje kusahau .Hachana na zile 1.7 za masomo saba za arts.๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Ukipata namba ya huyo HR nitumie pls.
Niko kwenye mchakato wa hivyo .HR akinipa kazi Dar ,nipate uhakika tuu namtoa 400k on the spot
 
Ukipata namba ya huyo HR nitumie pls.
Niko kwenye mchakato wa hivyo .HR akinipa kazi Dar ,nipate uhakika tuu namtoa 400k on the spot
Kampuni zinazoendekeza rushwa huwa hazina maisha marefu ,wako mbioni kufunga operation nasikia wamefilisika .
 
Wewe je, utatoa mauno kama yote...??
Mbona unakimbia swali,wakati ww ulisema mm ni boya nimekataa kutoa rushwa wakati wengine wanatoa mpk kwa Mpalange ,kauli yako inaonyesha wazi una uzoefu na mambo ya ajira na kwa Mpalange๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Aiseee,.kweli kuna tofauti kati ya A ya darasani na A ya maisha...muwe mnasoma comments na kuzielewa msiwe mnakurupuka tuu kisa umeona neno fulani limetumika..
 
Aiseee,.kweli kuna tofauti kati ya A ya darasani na A ya maisha...muwe mnasoma comments na kuzielewa msiwe mnakurupuka tuu kisa umeona neno fulani limetumika..
Sawa,nimekuuliza sababu najua labda kuna best ako alienda kwa Mpalange kutafuta kazi.Kwani kuna ubaya ukitupa ubuyu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Katika kitu ambacho umefanikiwa mpaka sasa ni kukataa rushwa kitu ambacho Mimi napambana nacho maana nimeshalizwa saana na rushwa kwenye kuomba kazi au kufanikisha Jambo japo mara nyingi pia nimefanikiwa kupitia hizo.

Mfano juzi nilikua na ishu ya kwenda Finland jamaa kanipiga mpunga alafu kasepa nimeumia ila nkasema acha nkomeshwe kwakupenda mkato. So Muombe Mungu akaze imani yako
 
Pole sana mkuu,rushwa sio nzuri kabisa sema watu hawajui tu.Yaani unampa mtu hela harafu unaenda kumfanyia kazi.
 
Ulipigwa kiasi gani mkuu,kwenye harakati za kuingia Finland?
 
Achana na kutoa hela.....

Wanaweza wakala hela na usipate mkataba....

Acha uwezo wako uliounesha kwenye internship uwe kigezo cha wewe kupata kazi.....

Kwa sisi watu wa sheria ,kutoa na kupokea rushwa au agreement zote za kupeana rushwa ni illegal agreement/contracts.

Hence hakuna mahakama yeyote au mtu yeyote atakusikiliza kama utatapeliwa hela sababu ya makubaliano ya kupata kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ