Unaweza kutoa rushwa kwa askari huyu?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,721
Reaction score
21,959
Huu uzi uende sambamba na nyuzi hizi.



Japokuwa rushwa ni rushwa lakini hapa unaweza kucheka badala ya kutoa rushwa.
 
Nilivyokuwa nawaona mwanzoni nilidhani ni migambo, nilikuja kuelewa baadaye sana
 
Askari ukimuona alivyo alafu akakupiga bitii unaweza dhani hachukuia rushwaa weee πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…