Unaweza kutumia Folic acid kwa ujauzito wa miezi 3??

Jiraniyetu

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
350
Reaction score
333
Habari wadau,kuna dada anauliza kama anaweza kutumia folic acid na ujauzito wake una miezi 3.au muda umepita haviwezi kusaidia tena??wajuvi karibuni sana..
 
Humu gf na wendawazimu wanajiunga siku hizi..... majibu ya bangi moto na wakosa radhi mpaka inaudhi......
 
Chief, unajuwa folic acid kazi yake lakini. Sio kutoa mimba.
 
By 12 weeks, the baby's neural tube will have closed and so it is not necessary to take folic acid, but it is not harmful to take it all the way through your pregnancy if you are taking pregnancy multivitamin tablets that contain it.

Kwa msaada wa google
 
Habari wadau,kuna dada anauliza kama anaweza kutumia folic acid na ujauzito wake una miezi 3.au muda umepita haviwezi kusaidia tena??wajuvi karibuni sana..
atumie tu.Alitakiwa kuanza folic acid mitatu kabla ya kushika uja uzito na kuendelea nazo mpaka azae
 
Hakika....
Na ndio maana nikasema hivyo....
Na kwa jibu hilo wewe ndio hujaelewa nilichomaanisha hapo.
Pitia tena usome kilichojibiwa kwa mlete mada.....
Au unatumia id ngapi?
Sorry man,,sikuelewa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…