Jiraniyetu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 350
- 333
Habari wadau,kuna dada anauliza kama anaweza kutumia folic acid na ujauzito wake una miezi 3.au muda umepita haviwezi kusaidia tena??wajuvi karibuni sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AnawezaHabari wadau,kuna dada anauliza kama anaweza kutumia folic acid na ujauzito wake una miezi 3.au muda umepita haviwezi kusaidia tena??wajuvi karibuni sana..
Ndio muda muafaka wala hajachelewaHabari wadau,kuna dada anauliza kama anaweza kutumia folic acid na ujauzito wake una miezi 3.au muda umepita haviwezi kusaidia tena??wajuvi karibuni sana..
Mbona unanitukana mkuu,,unaijua folic acid na ina kazi gani??siyo makosa yako lakini..kafie mbele ulipanua miguu ulifikiria nn
Unaijua folic acid??nitake radhi man..am straightKuna dada au wewe ?
Lengo tukuwite mama marehemu
Asante kwahilo mkuuNdio muda muafaka wala hajachelewa
Umeelewa thread??Humu gf na wendawazimu wanajiunga siku hizi..... majibu ya bangi moto na wakosa radhi mpaka inaudhi......
Nisamehe mkuuUnaijua folic acid??nitake radhi man..am straight
YameishaNisamehe mkuu
atumie tu.Alitakiwa kuanza folic acid mitatu kabla ya kushika uja uzito na kuendelea nazo mpaka azaeHabari wadau,kuna dada anauliza kama anaweza kutumia folic acid na ujauzito wake una miezi 3.au muda umepita haviwezi kusaidia tena??wajuvi karibuni sana..
Sawa mkuuatumie tu.Alitakiwa kuanza folic acid mitatu kabla ya kushika uja uzito na kuendelea nazo mpaka azae
Hakika....Umeelewa thread??
Sorry man,,sikuelewa..Hakika....
Na ndio maana nikasema hivyo....
Na kwa jibu hilo wewe ndio hujaelewa nilichomaanisha hapo.
Pitia tena usome kilichojibiwa kwa mlete mada.....
Au unatumia id ngapi?
Nimecheka mno mkuu watu wametoa povu haswaaHahahaha watu walidhani kuwa sababu ni ACID wakajua anataka kuchoropoa mimba [emoji23]