Aisee....kumbe watu wanaoa huku mioyo yao bado ipo kwa ma ex wao....kweli wacha tule mbususu tuu hizi ndoa ni kujidanganyaPamoja na zawadi ya £60m Brad pia ameinunua nyumba waliyoishi na Jeniffer wakiwa wanandoa na kumpa Jennifer kama zawadi. Nyumba hii iliuzwa kama sehemu ya makubaliano ya talaka. Brad aliongea na Jennifer baada ya ndoa yake na Angelina Jolie kuanza kusua sua na Jennifer alimueleza mapenzi yake katika nyumba walioishi pamoja.
View attachment 2250201
Ngoja niwatafue ma ex wangu nione wataninunulia nini.
Ha ha haa🤣afu kweli aiseeUsinipigie simu tena
Nakutakia maisha marefu yenye mafanikio
Who u been dating?🤣🤣🤣🤣🤣Sio bongo yetuu hii dada!
Hapo kwenye ndoa yake na angelina jolie kusuasua, mchizi akaamua autafute mkongojo wake wa muwa kujiondolea stressAisee....kumbe watu wanaoa huku mioyo yao bado ipo kwa ma ex wao....kweli wacha tule mbususu tuu hizi ndoa ni kujidanganya
Mimi ndio maana nasema sioi ng'oooo. Hasa hawa wanawake breki pumbuzz ni majanga tuu. Wee tuishi tuoeanage utamu basi. Kila mtu kwa munyumba yakeHapo kwenye ndoa yake na angelina jolie kusuasua, mchizi akaamua autafute mkongojo wake wa muwa kujiondolea stress