Unaweza kutumia kiasi gani cha hela kumnunulia zawadi EX wako? Brad Pitt ametumia £60m

Utaambulia matusi toka kwa ma X wako,wazungu pia wana malimbwata yao
 
Hiyo pesa ya kumnunulia sawadi dia ex 😂😂😂😂..ngoja nisije kufuru
 
Hayo ni matumizi mabaya ya pesa[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…