Unaweza kuugua au kufa ukila maharagwe mekundu

Unaweza kuugua au kufa ukila maharagwe mekundu

Aisee ni maharage haya haya niliyokulia mimi au yameingia mapya?
 
Mara kitimoto haifai ina minyoo sasa wamehamia kwenye maharage, tumekula maharage haya toka enzi na enzi leo ndo yaonekane kuwa yana sumu. mtuache aisee.
Naona tukila hewa tu itakuwa bomba.
Lakini sasa kuna air pollution.
 
Mkuu hata ukila maharage meupe, ya kijani, ya manjano au ya blue.. Haijalishi kama kufa wote tutakufa tu.
 
Back
Top Bottom