kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 19,257 Reaction score 12,244 Nov 27, 2019 #21 Aisee ni maharage haya haya niliyokulia mimi au yameingia mapya?
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Nov 27, 2019 #22 suleym said: Mara kitimoto haifai ina minyoo sasa wamehamia kwenye maharage, tumekula maharage haya toka enzi na enzi leo ndo yaonekane kuwa yana sumu. mtuache aisee. Click to expand... Naona tukila hewa tu itakuwa bomba. Lakini sasa kuna air pollution.
suleym said: Mara kitimoto haifai ina minyoo sasa wamehamia kwenye maharage, tumekula maharage haya toka enzi na enzi leo ndo yaonekane kuwa yana sumu. mtuache aisee. Click to expand... Naona tukila hewa tu itakuwa bomba. Lakini sasa kuna air pollution.
supasonic JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 356 Reaction score 309 Nov 27, 2019 #23 Mkuu hata ukila maharage meupe, ya kijani, ya manjano au ya blue.. Haijalishi kama kufa wote tutakufa tu.
Mkuu hata ukila maharage meupe, ya kijani, ya manjano au ya blue.. Haijalishi kama kufa wote tutakufa tu.
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 7,841 Reaction score 17,491 Nov 28, 2019 #24 Tule nini sasa wakuu?