Unaweza kuvaa kiatu kama hiki cha Davido?

Niliona warning Kwenye music mmoja nikaachana nayo kabisa.
pole mkuu,kama unasumbuliwa na tatizo hilo,ningekushauri ujaribu kutumia canabis oil inasaidia kupunguza seizures na hata ukipata seizure ukitumia inasaidia kuipinguza makali kwa asilimia kubwa.
 
Mtoa post sijaona cha ajabu hapo kiatu kikali hicho mbona
 
Japo ni viatu vya bei kubwa ila havina mvuto kwa kweli
 
Hili chalii lina hela ila halijui kuvaa waga linajishindilia tu mangandura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…