titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
pole mkuu,kama unasumbuliwa na tatizo hilo,ningekushauri ujaribu kutumia canabis oil inasaidia kupunguza seizures na hata ukipata seizure ukitumia inasaidia kuipinguza makali kwa asilimia kubwa.Niliona warning Kwenye music mmoja nikaachana nayo kabisa.