Unaweza kuwa milionea kwa kuwekeza katika miti ya mbao, cheki hapa

Unaweza kuwa milionea kwa kuwekeza katika miti ya mbao, cheki hapa

prof kaji

Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
50
Reaction score
0
Wadau napenda kuwashilikisha katika uwekezaji wa miti na kujipatia utajiri Baada ya muda mfupi....miti inapatikana Kuanzia hekari 1 hadi 300 .nk..miti hiyo ni kama vile.....

(a ) miti iliyo tayari kupasua mbao.

(b) Miti ya kuanzia mwaka 1,2,3,4,5,6,7 ya kuitunza mpaka ikiwa tayar kupasuliwa .

(c) Aridhi tupu ya kupanda miti.

(e) Mbao za jumla za kuuza .

(f) Ardhi pamoja miti .

SHAMBA NI KUANZIA HEKARI 1 NA KUENDELEA WASILIANA NAMI 0752870197 AU 0652292289
 
Hekari Moja ya miti ya miaka miwili bei gan na aina gani ya miti iliyopandwa shamban, je shamba lipo mkoa gan, vipi umiliki wa arithi una document zote muhimu???
 
Location ya Mashamba na Bei ya Shamba lenye miti??
 
Weka taarifa zilizokamilika na mambo mengi tujadili hapa ili mambo yakiwa sawa ndipo tuje kwenye simu.
-gharama
-location
n.k
 
Mkuu ingekuwa poa ukitoa mchanganuo wote hapa ili kama ipo interesting ndo utafutwe..
 
Uyu jamaa ni tapeli kuweni makini, mtu anakuitia pembeni ili akunyonge vizuri

huu uzi wa miti ulishajadiliwa hapa jukwaani na wadau walifunguka vizuri, jaribuni ku search mtauona
 
Back
Top Bottom